Back to home

Familia ya Kiamaiko yaomba msaada wa serikali kumtafuta mtoto wao wa mwaka mmoja aliyeibwa

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 27, 2025
3d ago
Familia moja eneo la Kiamaiko, Nairobi imeomba serikali kuwasaidia kumtafuta mwana wao wa mwaka mmoja aliyeibiwa nyumbani kwao jana mchana.