Back to home
Familia ya mtoto Mohamed Ali huko Kiamaiko yatoa zawadi kwa atakayempata
video
C
Citizen TV (Youtube)October 29, 2025
1d ago
Familia ya mtoto Mohamed Ali aliyeibwa Jumapili mchana mtaani Kiamaiko hapa Jijini Nairobi sasa imetangaza kutoa zawadi ya shilingi nusu milioni kwa yeyote atakayempata mtoto huyo.






