Back to home
Familia ya Kitale yamsaka mama wa watoto watatu aliyetoweka
video
C
Citizen TV (Youtube)October 30, 2025
5h ago
Familia moja huko Kitale kaunti ya Transnzoia inamtafuta mama wa watoto watatu aliyetoweka kwa wiki mbili. Familia hiyo inaarifu kuwa Caroline Mokeira aliondoka nyumbani na mumewe lakini mume huyo alirudi nyumbani pekee yake na hakutoa taarifa za kueleweka kuhusu aliko mkewe. Fam





