Back to home

Wachuuzi wa miraa Pumwani kaunti ya Nairobi walalamikia njama ya kuhamishwa

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 29, 2025
1w ago
Wachuuzi wa miraa katika eneo la Pumwani kaunti ya Nairobi wamelalamikia njama ya kuwafurusha kutoka eneo hilo na kutaka kaunti ya nairobi kuingilia kati.