Back to home
Elwin Ter Horst kufurushwa nchini kufuatia kuwatukana na kuwadhalilisha maafisa wa polisi
video
C
Citizen TV (Youtube)October 29, 2025
6d ago
Raia wa Uholanzi, Elwin Ter Horst, atarejeshwa kwao mara moja baada ya kunaswa kwenye kamera akiwatukana na kuwadhalilisha maafisa wa polisi katika Kituo cha Polisi cha Diani Kaunti ya Kwale.




