Back to home
Wakaazi wa Macalder huko Nyatike wanatazamia eneo hilo kuimarisha uchumi wao
video
C
Citizen TV (Youtube)October 29, 2025
6h ago
Wakaazi wa Macalder huko Nyatike, Kaunti ya Migori wana matumaini kuwa sehemu iliyotengwa kwa kuwekeza viwanda kitaimarisha uchumi baada ya kukamilika.





