Back to home

Familia yatambua mwili wa binti yao Susan Nyaboke Machakos

video
C
Citizen TV (Youtube)
October 29, 2025
6h ago
Familia ya Susan Nyaboke , mwanamke aliyeuawa katika kijiji cha Mwanyani huko Machakos, imethibitisha kuwa marehemu ni binti yao.