Back to home
Teknolojia mpya ya kuhifadhi nafaka
video
C
Citizen TV (Youtube)October 31, 2025
8h ago
Hasara baada ya mavuno bado ni changamoto kubwa kwa wakulima nchini, ikikadiriwa kuathiri hadi asilimia 40 ya mazao na kupunguza mapato . Katika eneo la North Rift, wakulima wengi wanaendelea kuvuna mahindi, lakini sehemu kubwa huharibiwa na wadudu na uhifadhi duni, huku mvua ina





