Back to home

Makundi ya wanawake yafunzwa kuweka akiba Isiolo

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 6, 2025
2h ago
Vikundi 32 vya wanawake na vijana katika Kaunti ya Isiolo vimenufaika na vifaa vya kuweka akiba ili kujikinga na athari za mabadiliko ya tabianchi. Makundi hayo yamepewa mtaji wa kuanzia wa shilingi 25,000 kutokana na mradi wa kujiandaa na madhara yanayotokana na mabadiliko ya