Back to home
Msafara wa Jipange na Viusasa watamatika Magharibi, wakazi wajitokeza kwa wingi
video
C
Citizen TV (Youtube)November 8, 2025
2h ago
Msafara wa Jipange na Viusasa umetamatika katika ukanda wa Magharibi, huku wakazi wa Shianda, Sabatia, Khwisero na Luanda wakijitokeza kwa wingi kuupokea msafara





