Back to home

Vijana huko Kwale watumia sanaa kusambaza amani

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 10, 2025
2h ago
Makundi ya vijana katika eneo la Kinondo kaunti ya Kwale yameanza kusambaza jumbe za amani kwa kutumia sanaa ili kuwafikia watu wengi katika maeneo ya vijijini.