Back to home
Ukosefu wa fedha wakwamisha shughuli za utafiti Kajiado
video
C
Citizen TV (Youtube)November 10, 2025
3h ago
Ukosefu wa fedha za kufanikisha utafiti kwenye vyuo vikuu mbali mbali nchini umetajwa kama changamoto kubwa inayolemaza juhudi za waatalam kuendeleza utafiti kuhusu masuala mbali mbali. Wakizungumza huko Kajiado watalamu wanasema licha ya uwezo wao na ujuzi wa kuendeleza utafiti





