Back to home
Familia moja kutoka Kisii yalilia haki baada ya mtoto wao kudaiwa kudhulumiwa kingono
video
N
NTV Kenya (Youtube)November 10, 2025
3h ago
Familia moja kutoka kijiji cha Bomokora, kaunti ya Kisii, inataka haki baada ya mtoto wao wa umri wa miaka 6 kudaiwa kudhulumiwa kingono na Harrison Boy, mfungwa wa zamani mwenye umri wa miaka 34.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Kenyan news today and everyday as t





