Back to home
Kampeni za Mbeere North zapamba moto kwa uchaguzi mdogo
video
C
Citizen TV (Youtube)November 17, 2025
3h ago
Kampeni za Kinyanganyiro cha ubunge Mbeere North zimeendelea kupamba moto huku Naibu rais Profesa Kithure Kindiki akituma eneo hilo kumpigia debe mgombea wa UDA huku naye kinara wa DCP Rigathi Gachagua aiendelea kuuza sera za mgombea wa DP. Pande zote zikiendelea kupigania kiti h




