Back to home
Elizabeth Keitany aanzisha kandanda ya akina kama wakongwe
video
C
Citizen TV (Youtube)November 18, 2025
2h ago
Je unawakumbuka kina mama wakongwe waliosafiri hadi Afrika Kusini kuwakilisha taifa la kenya kwenye mchezo wa kandanda? Elizabeth Keitany ndie alieanzisha wazo hilo na kuwaleta pamoja akina mama hao wacheze kandanda ili wairishe afya zao na pia kuwashughulisha kimaisha. Kufikia s



