Back to home

Vijana 40 wanufaika kwa kupewa vifaa vya kujikimu kimaisha

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 19, 2025
6h ago
Vijana 40 kutoka kaunti za Mombasa na Kwale wamewekwa kwenye mpango wa mafunzo ya vyuo vya kiufundi ili kuwapa ujuzi wa kupata ajira za kujitegemea katika nyanja mbalimbali na kuepuka kujiingiza kwenye makundi ya uhalifu na utumizi wa dawa za kulevya.