Back to home
Zaidi ya wafanyikazi 200 kutoka Ughaibuni warejea nchini walalamikia dhulma
video
C
Citizen TV (Youtube)November 19, 2025
1h ago
Zaidi ya wakenya 200 waliokuwa ughaibuni na kurudi nchini kutokana na dhulma wamepokea mafunzo ya kujitegemea huko Mombasa. Wakenya hao wamesimulia baadhi ya madhila waliyopitia huku serikali na chama cha kudhehia wakisema kuwa idadi kubwa ya wakenya walioko ughaibuni hasa milki





