Back to home
Wakaazi wa Ndetani kaunti ndogo ya Kibwezi waanza kuhifadhi ardhi iliyoharibika
video
C
Citizen TV (Youtube)November 19, 2025
2h ago
Wakaazi wa eneo la Ndetani kaunti ndogo ya Kibwezi Kaunti ya Makueni wameanzisha harakati za kuboresha ardhi ya umma ya ekari kumi na tano iliyoharibika kutokana na mmomonyoko wa udongo uliosababishwa na ulishaji mifugo kupita kiasi. Wakaazi hao wanatumia mbinu ya kuchimba mashim





