Back to home

Wakaazi waonywa dhidi ya kuhusika na ghasia zinazoendelea kushuhudiwa Bungoma

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 19, 2025
1h ago
Huku uchaguzi Mkuu wa mwaka 2027 ukiendelea kubisha hodi, visa vya vurugu vinaendelea kushuhudiwa kaunti ya Bungoma, Maafisa wa polisi wakitakiwa kuwajibikia majukumu yao ipasavyo.