Back to home

Vijana zaidi ya 100 wapokea vifaa vya kiufundi wajiajiri kaunti ya Lamu na kaunti ya TanaRiver

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 19, 2025
1h ago
Vijana Zaidi ya 100 kutoka katika kaunti ya Lamu na kaunti ya TanaRiver wamepokea vifaa vya kiufundi ikiwemo vya kushona nguo, kutengeza simu na hata kutengeneza pikipiki vitakavyowasaidia kujiendeleza kimaisha.