Back to home

Maafisa wa ujasusi Kisii wamemkamata Christopher Osaga kwa utapeli

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 19, 2025
2h ago
Maafisa wa ujasusi kutoka Kisii wamemkamata mwakilishi wadi ya Nyamasibi Christopher Osaga kufuatia visa vya watu kadhaa kuripoti kwamba Osaga amekuwa akiwatapeli akiahidi kuwatafutia nafasi za kusafiri hadi Canada kubadilisha maisha yao.