Back to home
Wakazi wanufaika na kandarasi za serikali ya kaunti Trans Nzoia
video
C
Citizen TV (Youtube)November 21, 2025
1w ago
Mamia ya wakazi wa Kaunti ya Trans Nzoia wamenufaika na kandarasi mbalimbali kutoka Serikali ya Kaunti kupitia Hazina ya Nawiri, iliyoanzishwa na Gavana George Natembeya.





