Back to home

Mtu auliwa Chwele huku ghasia zikichacha uchaguzi ndogo Kabuchai

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 23, 2025
4d ago
Mtu mmoja ameuawa kufuatia vurugu za kampeni za uchaguzi mdogo katika wodi ya chwele huko kabuchai kaunti ya bungoma. Mzee huyo wa miaka 70 aliyekuwa akipokea matibabu baada ya ghasia hizo amefariki akipokea matibabu. Wengine waliojeruhiwa wanaendelea kutibiwa. Haya yamejiri huku