Back to home

Makamishna wa IEBC wakutana na maafisa wa usalama katika uchaguzi wa Mbeere North

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 25, 2025
2h ago
Tume huru ya uchaguzi na uratibu wa mipaka IEBC imeanza maandalizi ya mwisho ya uchaguzi mdogo utakaofanyika katika maeneo mbalimbali keshokutwa. Afisa mkuu wa IEBC Marjan Hussein Marjan na makamishna wengine wanafanya kikao na maafisa wa usalama wa Mbeere North baada ya madai ya