Back to home

IEBC yasema usalama katika uchaguzi umeimarishwa kote Mbeere North

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 25, 2025
2h ago
Tume huru ya uchaguzi na uratibu wa mipaka IEBC imesema iko tayari kwa hali yoyote ya kiusalama hasa katika eneobunge la Mbeere North ambako naibu rais Profesa Kithure Kindiki alidai kwamba upinzani unapanga kuzua vurugu wakati wa uchaguzi. Emmanuel Too anayefuatilia uchaguzi wa