Back to home

Walinzi wa Gavana wa Trans Nzoia George Natembeya waliondolewa

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 26, 2025
5d ago
Walinzi wa gavana wa trans nzoia George Natembeya waliondolewa . kulingana na waziri wa usalam Kipchumba Murkomen , polisi hao wanatuhumiwa kushirikiana na wahuni na iwapo watapatikana na hatia watafutwa kazi.Hatua hii imechukuliwa siku tatu baada ya msafara wa gavana Natembeya