Back to home

David Ndakwa wa chama cha UDA ndiye mbunge mteule wa Malava kaunti ya Kakamega

video
C
Citizen TV (Youtube)
November 28, 2025
9h ago
David Ndakwa wa chama cha UDA ndiye mbunge mteule wa Malava kaunti ya Kakamega baada ya kumbwaga mpinzani wake wa karibu Seth Panyako wa chama cha DAP-K. Ndakwa amezoa kura 21,564 huku Panyako akipata kura 20,210.