Back to home

Shughuli za kawaida zarejea katika soko la Malava baada ya uchaguzi ndogo

video
N
NTV Kenya (Youtube)
November 28, 2025
5h ago
Shughuli za kawaida zimeanza kurejea katika soko la Malava eneo bunge la malava kaunti ya kakamega baada ya kutangazwa kwa mshindi wa uchaguzi mdogo uliyofanyika eneo Hilo hapo Jana ambao ulimpa David ndakwa wa uda kura 21,564 na kufuatwa kwa karibu na mwenzake wa dap-k Seth pany