Back to home
Serikali ya Tanzania yawaonya wanaopanga maandamano
video
C
Citizen TV (Youtube)December 4, 2025
1d ago
Jeshi la polisi la tanzania limetoa onyo kali dhidi ya maandamano yanayopangwa kufanyika tarehe 9 mwezi huu , likisisitiza kuwa wale wanaoratibu maandamano hayo watakabiliwa kisheria. katika taarifa ya msemaji wa serikali ya tanzania Gerson Msigwa amewashutuhumu wanaoandaa maanda





