Back to home

Mgomo wa madaktari katika Kaunti ya Embu waingia siku ya nne

video
N
NTV Kenya (Youtube)
December 5, 2025
1h ago
Mgomo wa madaktari katika Kaunti ya Embu umeingia siku ya nne, huku wahudumu wa afya wakishutumu utawala wa kaunti hiyo kwa kukosa kuheshimu makubaliano ya kurejea kazini yaliyotiwa saini miaka miwili iliyopita. Kabla ya mgomo huo, madaktari walikuwa wametoa notisi ya mgomo wa si