Back to home
Gavana wa Narok aahidi kukarabati mtambo wa maji Salabwek
video
C
Citizen TV (Youtube)December 8, 2025
2d ago
Gavana wa Kaunti ya Narok Patrick Ole Ntutu ametoa hakikisho kuwa wanakandarasi watarekebisha mashine ya kupiga maji iliyoharibika katika kijiji cha Salabwek Narok Magharibi.
Advertisement




