Back to home
Wadau wa elimu eneo la Nyatike wataka mikakati ya kukabili mimba za utotoni
video
C
Citizen TV (Youtube)December 8, 2025
2h ago
Wadau wa elimu katika eneo la Nyatike kaunti ya Migori wametaka kuwepo kwa mkakati shirikishi ili kukabiliana na ongezeko la visa vya mimba za utotoni na kuenea kwa ugonjwa wa Ukimwi miongoni mwa vijana katika eneo hilo.
Wakiongozwa na mbunge wa Nyatike Tom Odege, washikadau hao
Advertisement





