Back to home
Wito watolewa kwa serikali kuboresha sheria za kukabiliana na uhalifu wa kidijitali
video
N
NTV Kenya (Youtube)December 8, 2025
2h ago
Wito umetolewa kwa serikali kuboresha sheria za kukabiliana na uhalifu wa kidijitali hususan unyanyasaji unaolenga wasichana na wanawake huku siku 16 za uanaharakati dhidi ya Dhulma za Jinsia zikitarajiwa kukamilika Jumatano hii.
Subscribe and watch NTV Kenya live for latest Ke
Advertisement





