Back to home
Kituo maalum cha kusaidia watoto walio na ulemavu chajengwa
video
N
NTV Kenya (Youtube)December 25, 2025
3h ago
Kulea watoto walio na ulemavu kuna changamoto kadha wa kadha ambazo huenda zikachangia matatizo ya afya ya akili kwa wale wanaotoa huduma hiyo. Hata hivyo, huenda walezi wa watoto walio na ulemavu wakapata afueni kufwatia ujenzi wa kituo maalum kitakachowawesha kuwapeleka wanao k
Advertisement
Advertisement




