Back to home
Daktari aliyetekwa nyara na Al-Shabab Somalia aomba Umoja wa Mataifa na Kenya kumkomboa
video
C
Citizen TV (Youtube)December 25, 2025
3h ago
Familia ya daktari wa kenya Ambrose Kimiti Mwangi, ambaye alikuwa miongoni mwa kikosi cha madaktari wa Umoja wa Mataifa cha kuwahamisha madaktari nchini Somalia, imetoa wito wa dharura kwa Serikali ya Kenya, Umoja wa Mataifa, Iqarus na washirika wa kimataifa kuzidisha juhudi za
Advertisement
Advertisement




