Back to home

Mapendekezo ya Mudavadi kubadilisha katiba

video
C
Citizen TV (Youtube)
December 26, 2025
2h ago
Mkuu wa Mawaziri Musalia Mudavadi ameanzisha mjadala mkali kuhusu uhalali wa uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027, akipendekeza mabadiliko ya katiba ili kuweka mambo sawa. Mudavadi anapendekeza kura ya maamuzi ya katiba ifanywe ili kutatua masuala ya mipaka na sensa ambayo huenda ikawa
Advertisement