Back to home
Wanafunzi 700 wanapewa hundi ya pesa kulipia karo eneobunge la Nakuru Town West
video
C
Citizen TV (Youtube)January 12, 2026
2h ago
Ni nafuu Kwa wazazi wa zaidi ya wanafunzi 700 wale wanaojiunga na shule za Sekondari ya Juu kupata ufadhili wa masomo kupitia hazina ya fedha za usitawishaji maeneo bunge NG - CDF ya Nakuru Magharibi, wanafunzi hao kutoka shule za bweni kote nchini wakipewa asilimia Mia moja ya u
Advertisement
Advertisement




