Back to home

Wazee wa Kaya wataka viongozi kuangazia dhuluma za jadi kuhusu ardhi

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 15, 2026
2h ago
Baada ya kuteuliwa kwa balozi Chirau Ali Mwakwere kuwa msemaji wa jamii ya mijikenda mwezi jana, wazee wa Kaya Tiwi kutoka kaunti ya Kwale wamemtaka msemaji huyo na wasemaji wengine wa jamii zote tisa za mijikenda kuweka kipaumbele suluhu ya dhuluma za ardhi kwa wakazi wa Pwani.
Advertisement