Back to home

Serikali kuu na ya kaunti kuazisha miradi ya ksh.50b Lamu

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 15, 2026
3h ago
Miradi yenye thamani ya Zaidi ya shillingi billioni 50 imewekezwa katika kaunti ya Lamu .Miradi hii ikiwemo ya viwanda itafungua uchumi wa Lamu na kutoa nafasi nyingi za ajira.
Advertisement