Back to home

Mashirika 390 ya kuajiri watu yanachunguzwa

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 20, 2026
2h ago
Mashirika 390 ya kuwaajiri watu yanachunguzwa na serikali huku uchunguzi kuhusu mengine 15 ukiwa umekamilika na faili kuwasilishwa kwa mkurugenzi wa mashtaka ya umma. Ripoti ya jopokazi lililoteuliwa mwaka 2024 kuangazia malalamishi kuhusu shughuli za mashirika hayo imetolewa leo
Advertisement