Back to home
Mwanafunzi asalia nyumbani
video
C
Citizen TV (Youtube)January 22, 2026
2h ago
Emaculate Cheptoo alikua mwanafunzi katika shule ya msingi ya Litein na babake Geoffrey Koech anafanya kazi ya kupaka rangi viatu katika soko ya Litein .
Mwanafunzi huyu amekaa nyumbani kwa sababu ya kukosa karo baada ya kuitwa katika shule ya upili ya Chebonei kaunti ya Bomet .
Advertisement
Advertisement





