Back to home

Familia ya Mlolongo yaomboleza vifo vya watoto watatu waliodaiwa kuuawa na mama mzazi

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 28, 2026
8h ago
Familia moja mtaa wa Mlolongo kaunti ya Machakos inaomboleza vifo vya watoto watatu wanaodaiwa kuuawa na mama mzazi aliyewapa sumu kwenye chakula kabla ya kutoweka. Mshukiwa Linet Munala aliyekamatwa baadaye anadaiwa kuwaua wanawe watatu mapema juma hili kufuatia mzozo wa kinyumb
Advertisement