Back to home

Shambulizi la Gachagua

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 29, 2026
2h ago
Mamlaka ya kuchunguza utendakazi wa maafisa wa polisi IPOA na kitengo cha kuwachunguza maafisa wa polisi IAU, zimeanzisha uchunguzi wa kubaini iwapo maafisa wa polisi walihusika kwenye shambulizi la kanisa la ACK Witima wakati wa ibada iliyokuwa ikihudhuriwa na kinara wa DCP Riga
Advertisement