Back to home

Tetesi za malipo nyumba nafuu

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 29, 2026
2h ago
Wafanyakazi wa Jua Kali wanaoshiriki katika mradi wa ujenzi wa Nyumba za Bei Nafuu eneo la Shauri Moyo jijini Nairobi wameeleza wasiwasi wao kuhusu kucheleweshwa kwa malipo, pamoja na upungufu wa vifaa vya kazi. Kwa mujibu wa wafanyakazi hao, mafundi wamepokea malipo kiasi, lakin
Advertisement