Back to home

Soko la Ng'ombe Garissa kuboreshwa kuwa la kisasa

video
C
Citizen TV (Youtube)
January 29, 2026
2h ago
Idara ya mifugo imepokea maoni kutoka kwa wafugaji eneo la Garissa kuhusu ujenzi wa soko mpya ya kisasa kwa lengo la kuimarisha soko hilo ili kufikia kiwango cha kikanda. Wafugaji hao wametlalamikia ukosefu wa baadhi ya miundumsingi muhimu ilhali soko hilo linahudumia eneo nzima
Advertisement