Back to home
Jamii ya Gabra humkaribisha Mgeni kwa njia Maalum
video
C
Citizen TV (Youtube)January 29, 2026
2h ago
Jamii ya Gabra inayopatikana kaskazini mwa nchi, ina njia yake ya kipekee ya kumkaribisha mgeni. Jamii hiyo hutumia kipande cha ngozi ya mnyama kutengeza zawadi inayojulikana kama "Medich" ambayo huvishwa mgeni mkononi kama njia ya kumkaribisha.
Advertisement
Advertisement





