Back to home
Uhalifu wazidi Matisi Kaunti ya Trans Nzoia
video
C
Citizen TV (Youtube)January 29, 2026
2h ago
Watu wawili ameuawa huku wengine watatu wakijeruhiwa vibaya baada ya kushambuliwa kwa visu katika mtaa wa Matisi na Forkland, viungani mwa mji wa Kitale, kaunti ya Trans Nzoia.
Tukio hilo limezua hofu miongoni mwa wakazi wa eneo hilo. Kwa mujibu wa familia ya marehemu, Fredrick
Advertisement
Advertisement





