Back to home

Wanasiasa watakiwa kuhubiri injli ya kukomesha ukeketaji Narok

video
C
Citizen TV (Youtube)
February 6, 2026
2h ago
Mirindimo ya kisiasa inapozidi kushika kasi uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2027 unapokaribia, wanaharakati dhidi ya dhulma kwa wasichana wamehimiza wanasiasa Kaunti ya Narok kuchangia kutoa hamasa dhidi ya ukeketaji.
Advertisement