Back to home

Wakaazi wa Mombasa washiriki Iftar ya kwanza barabarani kuonyesha umoja na kusaidia wasiojiweza

video
C
Citizen TV (Youtube)
February 28, 2026
3h ago
Mamia ya wakazi wa Mombasa walijumuika kwa Iftar ya kwanza kuandaliwa barabarani. Waandalizi wa hafla hiyo wamesema lengo lake ni kuwaleta watu pamoja na kuonyesha umoja na kuwakumbuka wasiojiweza katika jamii
Advertisement