Back to home
Wakulima katika eneo bunge la Sirisia kaunti ya Bungoma wamelalamikia uhaba mkubwa wa mbolea
video
C
Citizen TV (Youtube)April 8, 2026
3h ago
Wakulima katika eneo bunge la Sirisia kaunti ya Bungoma wamelalamikia uhaba mkubwa wa mbolea aina ya Top Dressing, hali ambayo imeanza kuathiri shughuli za kilimo na uzalishaji.
Advertisement
Advertisement





